Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,804 May 18, 2015 #1 Idhaa ya bbcswahili imethibitisha kuwa taarifa tuliyo chapisha kwamba kuna mgahawa mmoja nchini Nigeria unauza nyama za binadamu siyo za kweli! Tunaomba radhi kwa taharuki au hisia zozote zilizo sababishwa na taarifa hiyo Taarifa ya mgahawa siyo kweli
Idhaa ya bbcswahili imethibitisha kuwa taarifa tuliyo chapisha kwamba kuna mgahawa mmoja nchini Nigeria unauza nyama za binadamu siyo za kweli! Tunaomba radhi kwa taharuki au hisia zozote zilizo sababishwa na taarifa hiyo Taarifa ya mgahawa siyo kweli
G GeeM JF-Expert Member Joined Apr 11, 2014 Posts 1,897 Reaction score 1,328 May 18, 2015 #2 Nyie ndo mliochapa hiyo taarifa? fafanua kidogo
M matamba1 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 233 Reaction score 84 May 18, 2015 #3 Angalau kidogo imani imerudi kwa hii migahawa maana nilishafikilia kutembea na mahot pot
NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,284 May 18, 2015 #4 BBC Swahili washazoeleka kwa michapio daily, kwanza hamna article washawahi andika bila kukosea data, either wataweka spelling mistake za ajabu, au watatoa data tofauti kabisa, magoli 8 wanasema 18. Hawa jamaa wamekua ka global publishers
BBC Swahili washazoeleka kwa michapio daily, kwanza hamna article washawahi andika bila kukosea data, either wataweka spelling mistake za ajabu, au watatoa data tofauti kabisa, magoli 8 wanasema 18. Hawa jamaa wamekua ka global publishers