BBC News: Tanzania purges 10,000 'ghost workers' in anti-corruption drive

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
24,878
47,725
Tanzania purges 10,000 'ghost workers' in anti-corruption drive

Tanzania has removed more than 10,000 "ghost workers" from its public sector payroll in a crackdown on corruption.

Payments to the non-existent employees had been costing the government more than $2m (£1.4m) a month, according to the prime minister's office.

The authorities say they are continuing to audit the public payroll and expect to find more phantom workers.

President John Magufuli, who was elected in October, has promised to cut wasteful public expenditure in office.

He ordered the audit in March, calling for the money saved to be used towards development.

Nicknamed the bulldozer, Mr Magufuli has announced a range of cost-cutting measures since coming to power, including cancelling official celebrations for independence day.

Tanzania spends more than $260 million a month paying the salaries of its estimated 550,000 public workers, Reuters news agency reports.

"We intend to have workers in government who are honest, accountable and hardworking. This is our priority and it is a non-stop initiative," Prime Minister Kassim Majaliwa told Tanzanians living in the UK, according to local newspaper The Guardian.

The prime minster was speaking after attending a major anti-corruption summit in the UK capital, London, last week.

Tanzania is ranked 117 out of 167 nations by Transparency International on its perception of corruption index.

Many countries across the continent have been affected by the scam of so-called ghost workers.

In February, the Nigerian government removed 24,000 workers from its payroll after an audit revealed they did not exist.

In September 2014, Kenya began biometrically registering all civil servants after unearthing 12,000 similar cases.
======================================================

Habari ya uzima wenu members wote,

Ngoja ni share na nyie hili nililolikuta kwenye BBC , leo katika kuperuzi habari kwenye media ya BBC nimekutana na hili la muheshimiwa raisi JPM kwa namna anavyo pambana na WATUMISHI HEWA , kwa kweli raisi wetu JPM jitihada zake za kupunguza na kupambana na matumizi holela ya rasilimali fedha za umma zimekuwa na matunda mazuri na hata kimtazamo tu ukiacha sisi watanzania tu ila dunia nzima wanazikubali hizi juhudi za mheshimiwa.

Jitihada za kupambana na rushwa na watumishi hewa zimekuwa ni habari zikisambaa dunia nzima na kazi yake chini ya baraza lake la mawaziri zimekuwa zikionekana na tumsifu kwa jitihada hizi na tuzidi kumuombea raisi wetu katika harakati zake za kupambana na rushwa na mafisadi papa...
 
Kuna baadhi ya watu hawataki kusikia au kusoma maandishi yako!

Kuna wengine wanaomba kwa shetani usiku na mchana ili juhudi za Rais Magufuli zisifanikiwe kwa sababu kufanikiwa kwa juhudi zake ni kifo chao kisiasa na oia ni pigo la ufisadi, wizi, uvivu na ubadhilifu wa mali za umma.

Kuna ubinafsi nchini wa kiwango cha PhD.
 
Tanzania purges 10,000 'ghost workers' in anti-corruption drive - Tanzania purges 10,000 'ghost workers' in anti-corruption drive - BBC News

Habari ya uzima wenu members wote,

Ngoja ni share na nyie hili nililolikuta kwenye BBC , leo katika kuperuzi habari kwenye media ya BBC nimekutana na hili la muheshimiwa raisi JPM kwa namna anavyo pambana na WATUMISHI HEWA , kwa kweli raisi wetu JPM jitihada zake za kupunguza na kupambana na matumizi holela ya rasilimali fedha za umma zimekuwa na matunda mazuri na hata kimtazamo tu ukiacha sisi watanzania tu ila dunia nzima wanazikubali hizi juhudi za mheshimiwa , Jitihada za kupambana na rushwa na watumishi hewa zimekuwa ni habari zikisambaa dunia nzima na kazi yake chini ya baraza lake la mawaziri zimekuwa zikionekana na tumsifu kwa jitihada hizi na tuzidi kumuombea raisi wetu katika harakati zake za kupambana na rushwa na mafisadi papa...
la ajabu kampuni ya chadema ikiongozwa na ceo anayependekezwa na mwanahisa mkuu el imekua inabeza juhudi za jpm baada ya kuona hawana biashara. inasikitisha kuona chama kilichokua mstari wa mbele kupinga rushwa na kutetea utawala bora sasa kimebaki kupiga ngwara vita ya ufisadi.
 
Kuna baadhi ya watu hawataki kusikia au kusoma maandishi yako!

Kuna wengine wanaomba kwa shetani usiku na mchana ili juhudi za Rais Magufuli zisifanikiwe kwa sababu kufanikiwa kwa juhudi zake ni kifo chao kisiasa na oia ni pigo la ufisadi, wizi, uvivu na ubadhilifu wa mali za umma.

Kuna ubinafsi nchini wa kiwango cha PhD.
Najuwa kuwa mafisadi papa wale walioko kwenye mfumo wa ulaji na matumizi mabaya ya pesa za umma tokea kipindi cha mzee mkwere najuwa hawafurahi kuona anko magu anapambana nao kwa kuwa mianya ya upigaji deal zimekuwa cut off,

katika hali ya kawaida kabisa hakuna binadamu anaye kubalika % awe anafanya mazuri au vinginevyo, watu wakimchukia anko magu siwezi shangaa kwani libya ilikuwaje walimuandama Gaddafi pamoja na kuwapa wananchi kila kitu almost bure lakini kwani walimfanyaje Gaddafi.....leo wamebaki wakijutia uamuzi wao... Tujifunze kuyapenda mazuri yanayotokea katika nchi yetu kuliko kukosoa kila jambo kama mbunge wa iringa peter msigwa.
 
Kuna majitu utasikia BBC imekosea. Yani Tanzania sijui tumeingiwa na lipepo gani siye?
Kuna mijitu ni mizandiki hadi inatia huruma.
Hahahaha umenichekesha, ila kuna kamsemo kanasema NABII HAKUBALIKI NYUMBANI... yani kuna watu kazi yao ni kukosoa tu, ila naamini sana mbele ya safari watatuunga mkono na kujivunia mazuri anayo yafanya mheshimiwa raisi JPM.... Viva harakati za mheshimiwa
 
Mm nilipendekeza toka jana,saccos hizo zifutwe tu.Mosi,halikuwa pendekezo la walio wengi ktk kura za maoni kuhusu uanzishwaji wa vyama(saccos)vingi;pili,saccos hizo sasa zilishatawaliwa na Ukanda.

Hawana vision wala mission maskini wa Mungu!Washadadiaji wa vitu vidogovidogo visivyo na hata jembe ya afya ya saccos zao.Hata hiyo habari uloileta hapa jamvini wataipinga pasi na shaka.YAFUTWE tu!
 
Vipi Lugumi anatumbuliwa lini mbona mheshimiwa hamgusi bila kusahau wale waliobeba
mabilioni stanbic ( ESCROW) nao bado BBC wanamsubiri achukue hatue pia
 
Waacheni watapatape, MAGUFULI ndiye rais tuliyemhitaji.
Ahsante sana mkuu.........hivi watu wanatakaje labda...Unajuwa sahivi heshima imerudi watumishi wa umma kweli wamebadilika katika muktadha wa kutoa huduma, rushwa za kijingajinga tupa kule,yani muheshimiwa ana busara sana, mambo ya kujuana sahivi ili upate kazi peleka kule private sector
 
"Ghost workers" wapo kila mahali duniani ni kazi kubwa kupambana nayo lakini kama utaratibu utafuatwa tatizo litapungua sana kama kila mwaka auditors wanafuatilia kwa kina.

Mwaka 2008 huko London wafanyakazi serikalini walibainika watu 1700 ni hewa na kuisababishia serikali hasara ya £1m kwa wiki.

Nigeria wafanyakazi 24,000 tena wakiwemo waalimu watoto wa umri wa miaka 8 waliosajiliwa kama waalimu wakilipwa mishahara.

Na jirani zetu Kenya 12000 hewa na kulisababishia hasara ya $1m kwa kila mwezi.

Ni bora limegundulika hilo kwani wametutafuna sana hawa mchwa.
Asante Magufuli kwa hapa kazi tu.
 
Vipi Lugumi anatumbuliwa lini mbona mheshimiwa hamgusi bila kusahau wale waliobeba
mabilioni stanbic ( ESCROW) nao bado BBC wanamsubiri achukue hatue pia
mimi naamini hakuna jambo mheshimiwa anakurupuka awe ametonywa au vinginevyo ila anatafuta details ili apate pakusemea, Maamuzi yake huwa tayari ameshafanya feasibility study ndiyo anakuja public kulizungumzia.... Na Mheshimiwa haongozwi au hafanyi vitu au jambo nchini kwa hisia za MATAIFA ya NJE au kwa kutafuta aripotiwe na BBC Ili aonekane dunia nzima kama ni kiongozi bora hapana ila anafanya haya kwa mapenzi ya dhati kabisa kwa watanzania na kwa hali ya uzalendo tu...
 
Vipi Lugumi anatumbuliwa lini mbona mheshimiwa hamgusi bila kusahau wale waliobeba
mabilioni stanbic ( ESCROW) nao bado BBC wanamsubiri achukue hatue pia
Mtumbue kwanza Mungu mtu wa Mb.owe kisha umalizie na mamvi.Halafu uelewe CCM ndiyo chama dola na km hutaki jichimbie shimo halafu......
 
"Ghost workers" wapo kila mahali duniani ni kazi kubwa kupambana nayo lakini kama utaratibu utafuatwa tatizo litapungua sana kama kila mwaka auditors wanafuatilia kwa kina.

Mwaka 2008 huko London wafanyakazi serikalini walibainika watu 1700 ni hewa na kuisababishia serikali hasara ya £1m kwa wiki.

Nigeria wafanyakazi 24,000 tena wakiwemo waalimu watoto wa umri wa miaka 8 waliosajiliwa kama waalimu wakilipwa mishahara.

Na jirani zetu Kenya 12000 hewa na kulisababishia hasara ya $1m kwa kila mwezi.

Ni bora limegundulika hilo kwani wametutafuna sana hawa mchwa.
Asante Magufuli kwa hapa kazi tu.
Ni kweli mkuu, yani ni sawa kabisa, ila nimejaribu kutafakari nimeona ni fedha nyingi sana za umma tulikuwa tunazipoteza kabla ya udhibiti huu ulio tukuka wa anko magu.,

mianya ya upotevu wa hela hizi zote kama serikali za awamu iliyopita wange weka jitihada za namna hii basi tunge kuwa tumeshapiga hatua sana za kimaendeleo kwa hizi pesa ambapo zingetumika kujenga na kukarabati barabara nyingi ambazo ni mbovu na zinasababisha ajali nyingi, pia zinge weza kuboresha sector ya elimu pia afya jamani yani ukimchukia anko magu na jitihada hizi basi wewe unahitajika kupimwa akili
 
Back
Top Bottom