No internet for Singapore public servants - No internet for Singapore public servants - BBC News
lumumba kwa matusi, mna A+Kuna vilaza hapa kama Baregu, Lisu, Zito &Co. watakwambia Singapore hakuna demokrasia na fashist wakati ni nchi ya pili kwa utajili Duniani, imekwenda ktk third world na ndani ya miaka 50 inazidi nchi nyingi sana za Wazungu na Singapore inaongozwa na Chama kimoja tangu Uhuru!
Sasa kama kazi zinafanyika kwa kutuma email hapo inakua je? Na zaid unaweza ukazuia internet mpaka mawasiliano ya simu ila watu wakafika ofisin wakasoma magazeti kukawa asubuh kukawa jion siku zinasoma. Kinachotakiwa ni commitment ya kazi. People who are willing to work.
Unaweza mpeleka ng'ombe mtoni kwa lazima ila huwez mlazimisha kunywa maji....
Kwa hiyo wewe una akili na uelewa klk Serikali ya Singapore? Nchi ya pili kwa Utajili Duniani, nchi ambayo hakuna masikini kama tuwajuavyo maikini kwetu, nchi ambayo kila Raia ana haki ya kula, makazi, na matibabu Kikatiba, wewe unaweza kuwa na uelewa kuhusu uamuzi wao klk wao wenyewe?
data za wapi hizo??? mbona unauonyesha ukilaza wako hadharani?Kwa hiyo wewe una akili na uelewa klk Serikali ya Singapore? Nchi ya pili kwa Utajili Duniani, nchi ambayo hakuna masikini kama tuwajuavyo masikini kwetu, nchi ambayo kila Raia ana haki ya kula, makazi, na matibabu Kikatiba, wewe unaweza kuwa na uelewa kuhusu uamuzi wao klk wao wenyewe?
data za wapi hizo??? mbona unauonyesha ukilaza wako hadharani?
Hiv mkuu wapi kwenye comment yangu nimesema ninaakili kuliko serekali ya Singapore? Usicream mkuu, kuna uwezekano mkubwa sana watu wao wako commited na work hata kabla internet haijazimwa ndio maana wakafika waliko. Jaribu kuelewa mawazo ya mtu na sio kuniwekea maneno ambayo sijasemaKwa hiyo wewe una akili na uelewa klk Serikali ya Singapore? Nchi ya pili kwa Utajili Duniani, nchi ambayo hakuna masikini kama tuwajuavyo masikini kwetu, nchi ambayo kila Raia ana haki ya kula, makazi, na matibabu Kikatiba, wewe unaweza kuwa na uelewa kuhusu uamuzi wao klk wao wenyewe?