Vita vya Syria ni vigumu kuvielewa kwa lens rahisi!
Kumbuka US, IRAN, ASSAD KURDS, walipigani upande mmoja dhidi ya ISS!
ISS walienda wapi baada ya vita?
Ndio hao wamerudi kwa jina la HTS! This time wanaungwa mkono na US na Turkey !
Amini kama waasi watamuondoa Assad, hao waasi hawawezi kuongoza!
Geopolitics ni ngumu kuzielewa! Hakuna Usuni na Ushia hapo!