Bayern Munich itatwaa ubingwa wa ulaya 2012

huree bayern

Mtabiri Juha wewe !!!!!!!!!!!!!!
siku ilipowadia ulitakiwa usubiri matokeo
Ati 3-1

Ila sishangahi kna Juha mwezako mwezako aliweka dau kwenye special Olympic ile olympic ya vijana wenye special need(matahira)..sijuhi alikuwa ana guarantee gani

Asante Maalim kwa kuniita Juha eti kwa sababu utabiri wangu haujatimia,ndio maana ya kutabiri nisingeweza kusubiri matokeo ndio nitabiri.naamini wewe si mgeni katika soka,mimi ni shabiki mkubwa saaana wa liverpool na mfuatiliaji mzuri tu wa kandanda duniani.ukihitaji kubadilishana mawazo na shabiki juha kama mimi unakaribishwa saa yoyote.
 

You must be Poyoyo
 
Niumbuke kwa kutabiri? unafikiri wakati naandika sikujua mpira una matokeo matatu draw,kushinda au kufungwa? ina maana wote waliotabiri na haikuwa sahihi mpaka walio bet wameumbuka? unajua maana ya kutabiri? Jipange wewe

mapovu yote ya nini asiyekubali kushidwa c mshindan we bila shaka ni arsenal umekalia ubishi.poor utabiri
 
BAK huu ni utabiri wa kisoka unao base kwa kuangalia kiwango cha soka au form ya timu husika,usiufananishe na ule wa kutumia nguvu za majini..mara ooh mwezi ujao kiongozi mkubwa anakufa!

mwaka 2005 uefa chelsea iliitoa bayern kwa jumla ya goli 6-5 bila penati hapo. Sio kila mwenye kitambi ni boss hata wanawake nw a day wanavyo c vya mimba
 

sema shekh yahaya. Matokeo umeyaona?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…