Saafi Saana Bawacha, wafundisheni watanzania waikatae hii ccm na mfumo wao wa utawala uiloshindwa kupata majibu ya kero za watanzania. Maji shiiiiiiiiiiiida, afya shiiiiiiiiiiiiiiiiida tena kina mama wanalala wanne wanne wodi ya wazazi, ufisadi ndio usiseme kabisa, miundo mbinu hovyoooooo kabisa.