BAVICHA yaikata CCM mikono jimbo la Ukonga

Arnold Ringo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,318
Reaction score
394
Viongozi 16 wa mashina na matawi ya CCM jimbo la Ukonga wamejiengua kwenye chama hicho na kujiunga na CHADEMA jana Jumapili kwenye mkutano wa hadhara ulihutubiwa na Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi.

Viongozi hao wamesema wameamua kujiondoa kwenye chama hicho kwa kuwa ndani ya CCM hakuna ubinadamu, utu na uwajibikaji wa kweli na ndio maana nchi inaendelea kuwa masikini.

Wameeleza kuwa wamejitoa CCM na kujiunga na CHADEMA kwa kuwa ndio chama che ye dhamira ya kweli ya kupigania maslahi ya mtanzania wa leo tofauti na CCM ambayo wizi wa mali za umma ndio umtemalaki.

Akiwakabidhi kadi za CHADEMA, Katibu Mkuu wa BAVICHA Ndugu Munishi amewataka wanachama hao wapya kushirikiana ipasavyo na wanachama wenzao ili kufagia uozo wa serikali ya CCM kwenye mitaa, kata na jimbo la ukonga na hatimaye kuhakikisha CHADEMA inashika hatamu ndani ya jimbo hilo na kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.
 
Nchi ni moja sote ni ndugu nawatakia siasa safi na uongozi bora.
 
Safi sana kwa uamuzi wao wa kujiunga na jeshi kubwa la ukombozi!
 
Hongereni,lakini wasije wakazivua tu hizo gwanda baada ya muda mfupi!
 
Safi sana kwa uamuzi wao wa kujiunga na jeshi kubwa la ukombozi!
Mwita maranya,
Kazi yako inatukuka,songeni mbele kuelekea kas,kus,mashariki na magharibi mpaka maccm yachanganyikiwe
 
waambie wawe wamekujakwa moyo wakujenga nchi nachama sio kufanya usaliti maana kwa chadema wahuni hwana nafasi,wasaliti na mamluki ni mwiko
 
Viongozi 16 wa mashina na matawi ya CCM jimbo la Ukonga wamejiengua kwenye chama hicho na kujiunga na CHADEMA jana Jumapili kwenye mkutano wa hadhara ulihutubiwa na Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi.

Viongozi hao wamesema wameamua kujiondoa kwenye chama hicho kwa kuwa ndani ya CCM hakuna ubinadamu, utu na uwajibikaji wa kweli na ndio maana nchi inaendelea kuwa masikini.

Wameeleza kuwa wamejitoa CCM na kujiunga na CHADEMA kwa kuwa ndio chama che ye dhamira ya kweli ya kupigania maslahi ya mtanzania wa leo tofauti na CCM ambayo wizi wa mali za umma ndio umtemalaki.

Akiwakabidhi kadi za CHADEMA, Katibu Mkuu wa BAVICHA Ndugu Munishi amewataka wanachama hao wapya kushirikiana ipasavyo na wanachama wenzao ili kufagia uozo wa serikali ya CCM kwenye mitaa, kata na jimbo la ukonga na hatimaye kuhakikisha CHADEMA inashika hatamu ndani ya jimbo hilo na kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.
cc ifweero, Simiyu Yetu Ritz na magamba yote humu JF
 
Last edited by a moderator:
good...tupo dakika za safisha safisha. huku nilipo magamba yanasalimu card za ccm si kawaida!
 
Nashauri wasipewe uongozi/nafasi ya juu. Wanaweza kuwa virusi hawa!
 
Mpaka Mwaka 2015 lazima tumewashika Magamba pabaya
 
Back
Top Bottom