HabariChademamara
Senior Member
- Apr 6, 2015
- 113
- 91
Bavicha watikisa Musoma mjini leo katika viwanja vya Stendi kata ya Nyasho wakiongozwa na Katibu Mkuu Mwita Julius pamoja na kamanda John Heche mtangaza nia wa ubunge jimbo la Tarime.tazama picha mbali mbali katika mkutano wa leo ..