BAVICHA Waongeza Nguvu Mtwara

Kwakua unapata ruzuku ya ccm unaona fisi tu hapo ulipo
Fisi na ACT wapinawapi! fanyeni siasa wacheni siasa za kitoto majukwaani zungumzien wananchi na si chuki za mbowe iwe bishara ya chadema
 
bavicha wakitoka huko waingie ruvuma hasa majimbo ya mbinga mgharibi,mbinga mashariki ambako kwa sasa wagombea ubunge wa ccm wamejazana wakishindana kuwahonga wananchi kuelekea oktoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…