Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Bavicha imepoteza mvuto
Keep it up Bavicha!
Bavicha imepoteza mvuto
Bavicha imepoteza mvuto
Mwacheni huyo jamani hana namna!
Tutaendelea kuwapa habari za Chadema mara kwa maraMakamanda wameshaingia Masasi mjini hapa, kesho saa 8 mchana wanapiga shoo eneo la uwanja wa fisi nyuma wa stendi kuu
Bavicha imepoteza mvuto
Mfumuko wa bei umeongezeka kwa 4.5% ndani ya wiki 2 hizi. Acha Bavicha wapulize DawaBAVICHA ilikuwa ya Heche hawa wasasahivi bora liende wasakatonge tu hawana lolote wababaishaji chadema inakufa mikononi mwao mwaka huu
Baraza la vijana wa CHADEMA (BAVICHA ) Wameelekea Mkoa wa Mtwara hii leo,wakiongozwa na Katibu Mkuu wa BAVICHA Julius Mwita,Naibu Katibu Mkuu bara Getrude Ndibalema na Katibu Mwenezi wa BAVICHA Taifa Edward Simbeye.
Watafanya mikutano sita ya hadhara,kuhamasisha uandikishaji wa wapiga kura katika Daftari la kudumu la wapiga kura.
Pamoja na hayo watakagua uhai wa Chama na kufanya mafunzo ya Uongozi kwa viongozi wote wa CHADEMA.
Leo kuanzia saa kumi jioni,kutafanyika mikutano miwili katika kata ya Mwena jimbo la Masasi,tarafa ya Chikundi na Mkutano wa mwisho utafanyika Ruangwa mjini Jimbo la Ruangwa.
Mungu Ibariki BAVICHA,Mungu ibariki CHADEMA Mungu ibariki Tanzania.
chadema mna tatizo sasa mtwara mmekwenda kuzungu mzia matatizo ya wananch lakini ajabu mnaweka na porojo ACT wanahusika vipi?Tembo Man kapoteza nini Pembe?
Tukisema ACT inawapa watu presure nyie mnakataa
Kwakua unapata ruzuku ya ccm unaona fisi tu hapo ulipochadema mna tatizo sasa mtwara mmekwenda kuzungu mzia matatizo ya wananch lakini ajabu mnaweka na porojo ACT wanahusika vipi?
Wakimaliza Ntwara waingie Lindi kwa Bi Mkubwa maana huko watu wamelala bado. Kusini kuchele