Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) wamenolewa kwa siku tatu mfululizo mjini Morogoro kwa lengo la Kuwafundisha Madiwani wote wa CHADEMA nchi nzima hususani Manispaa zote nchini zinazoongozwa na CHADEMA.
BAVICHA wakiongozwa na M/kiti wa Baraza hilo Jemedari Patrobas Katambi watasambaa kila kona ya nchi hii kwaajili ya kuwafundisha Madiwani wao,namna bora ya kuongoza Halmashauri na kuwatumikia wananchi wao Kisayansi zaidi.
Lengo Kuu la Mafunzo hayo,ni kutaka kuonesha tofauti kati ya Ccm na CHADEMA katika maswala ya kuitawala na Kiuongozi katika manispaa hizo.
BAVICHA imewahikikishia wananchi kuwa itawasaidia Madiwani mbinu bora na za kisasa kuendesha Halmashauri,ili wananchi hususani Vijana waone matunda ya Kuichagua CHADEMA na UKAWA katika kata zao.
Imetolewa na ,
Edward SIMBEYE
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa.