YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Kwa mnujibu wa magazeti ya leo ni kuwa viongozi wa BAVICHA watakutana ili kutoa tamko baada ya Mbowe kutoa tamko kuwazuia kwenda Dodoma.
Kiheshima na kiprotokali,Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa.Akishatoa agizo kinachofuata ni kutii tu hilo agizo sio kuitisha tena kikao cha kujadili agizo la mwenyekiti na kulitolea tamko.Hilo haliko sawa.BAVICHA mnamkosea adabu mwenyekiti mbele ya hadhara.
Naamini ule usemi wa Duni HAJI kuwa CHADEMA kila mtu ana sharubu.BAVICHA nao wana sharubu!!!