Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 575
- 443
Kwani Kirefu cha Bavicha Nini.?Kwahiyo mnataka vijana tu? Haya ngoja tuwasubiri
Katika siasa kila mtu ni kijana, hata Febr. Marope, Zitto, Nchemba bado ni vijana tu. Usihofu hata kama upo 50+ bado ni kijana!Kwahiyo mnataka vijana tu? Haya ngoja tuwasubiri
LOFA na MPUMBAVU katika ubora wako Mkuu. Mbona povu lakutoka Jamaa yangu.... wewe au ni BAWACHA?post ya kipumbafuu
sababu hawezi chonga kitambulisho na kujifanya usalama wa taifa sio?LOFA na MPUMBAVU
nani jamaa yako[emoji89]LOFA na MPUMBAVU katika ubora wako Mkuu. Mbona povu lakutoka Jamaa yangu.... wewe au ni BAWACHA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nani jamaa yako[emoji89]
Huyo atakuwa UWT yale ma mama yanayogawa uroda kama njugu! Ila UVCCM watajitokeza kweli? Mleta mada ungechagua wachache kila upande ili walumbane sisi wengine tuwe watazamaji! Kwa mfano UVCCM ungemtaja yule dada wa Mombasa Shaka aje na wenzake watano, BAVICHA ukamtaja Ben, Malisa nao waje na wenzao watano malumbano yaanze!LOFA na MPUMBAVU katika ubora wako Mkuu. Mbona povu lakutoka Jamaa yangu.... wewe au ni BAWACHA?