Ndugu yangu ni huzuni, nasikia mafisiem yatapeleka viti maalumu madiwani huko ili kuufinya ukawa kama walimvyomtoa Mama Chatanda Tanga kumpeleka Arusha kipindi kilichopita. Lakini nafurahi kuwa chuki dhidi ya ccm inazidi kuongezeka.
Nashauri wa bure. Kweli kama ukawa( ukiwa) wanasema kutoka moyoni kuwa spika atoke nje ya wabunge wateule. Basi waanze na kutuonyesha Mfano wa majimbo walioshinda madiwani tuchague meya kutoka nje ya madiwani waliochaguliwa.