BAVICHA tumewazoea

BAVICHA tumewazoea

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
kp29112013.jpg
 
hahahaha kweli mbowe ni nomaa,,
akili za ki-Dj anatumia kuendesha chama.
ila tuwaombee labada watavuka
 
Hizo Halmashauri 19 zitaendelea kwa kasi ya ajabu ya mabadiliko.

Ndugu yangu ni huzuni, nasikia mafisiem yatapeleka viti maalumu madiwani huko ili kuufinya ukawa kama walimvyomtoa Mama Chatanda Tanga kumpeleka Arusha kipindi kilichopita. Lakini nafurahi kuwa chuki dhidi ya ccm inazidi kuongezeka.
 
hahahaha kweli mbowe ni nomaa,,
akili za ki-Dj anatumia kuendesha chama.
ila tuwaombee labada watavuka

Nashauri wa bure. Kweli kama ukawa( ukiwa) wanasema kutoka moyoni kuwa spika atoke nje ya wabunge wateule. Basi waanze na kutuonyesha Mfano wa majimbo walioshinda madiwani tuchague meya kutoka nje ya madiwani waliochaguliwa.
 
Back
Top Bottom