BAVICHA - the youth think tank!

BAVICHA - the youth think tank!

Sanzjr Hamma

Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
42
Reaction score
3
uadilifu, busara na hekima kwa viongozi makini, vinatoka hapa. Rai kwa vijana, tutumie chemchemi hii kutoa HOJA MANTIKI!
 
Jihadharini msikisaliti chama kama walivyofanya wenzenu waliofukuzwa. Mtalaaniwa na kizazi hiki na hivyo vijavyo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jihadharini msikisaliti chama kama walivyofanya wenzenu waliofukuzwa. Mtalaaniwa na kizazi hiki na hivyo vijavyo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Umenena kilicho chema mkuu! Kuna wenzetu walijiona kuwa wao ni zaidi ya Bavicha na wakaamua kufanya siasa za kushibisha matumbo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
 
Back
Top Bottom