BAVICHA Taifa
Senior Member
- Jul 25, 2013
- 117
- 661
Hivi hawa bar za vichaa Bado wapo na watu wanawasikilizaBaraza la Vijana Chadema (BAVICHA) tunalaani kitendo cha Serikali kuvunja vibanda vya wafanyabiashara/wajasiriamali wadogo katika Soko Kuu la Kariakoo, Jijini Dar Es Salaam.
Tukio hili ni la kinyama na halina utu ndani yake kwani limewasababishia vijana wengi umasikini na ufukara baada ya bidhaa zao kuchukuliwa na mgambo wa jiji waliyokuwa wakiendesha operesheni ya kuvunja vibanda vyao.
Ikumbukwe kuwa Serikali imeshindwa kutoa ajira kwa mamilioni ya vijana wanaomaliza vyuo na shule mbalimbali hapa nchini kwa muda mrefu, inasikitisha kuona kuwa vijana wanapojitahidi kujiajiri wenyewe, Serikali inawaumiza badala ya kuwasaidia ili waweze kujikwamua na ugumu wa maisha.
Tunaitaka Serikali ieleze hawa vijana wamachinga eneo lao la kufanyia biashara liko wapi? na je, Kariakoo siyo kwa ajili ya vijana wa Kitanzania? Nani mwenye haki na Soko la Kariakoo?
Kitendo hiki kinaweza kusababisha ongezeko la uhalifu mitaani kwani hawa vijana hawatakuwa na kazi na hivyo kukosa kipato cha kujikimu.
Serikali iweke miundombinu ya vijana kujiajiri na kamwe isiwe kikwazo kwa vijana kujikwamua kiuchumi.
Imetolewa leo Disemba Mosi, 2022.
Apolinary Boniface,
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano BAVICHA.
Hawa bar za vichaa walisema jpm anawaruhusu mchinga kila Kona wanachafua miji Leo Samia anafanya waliotaka wanalia Lia TenaBiashara za kariakoo sikuhizi hakuna vibanda zaidi ya meza Tu hiyo mitaa yote ya kariakoo kuanzia tandamti, sikukuu, Pemba na mafia kuna mgambo wengi Toka asubuhi kiasi kwamba hata pipi hauwezi kuuza
Mlitaka Samia asafishe mijiHawa mbwa wa ccm hawajui walitakalo. Juzi waliwaruhusu leo wanawafukuza. Fvck them.
kama huwasikilizi mbona ume comment? hovyoooooHivi hawa bar za vichaa Bado wapo na watu wanawasikiliza
USSR
Tatizo la Wa MachingaBaraza la Vijana Chadema (BAVICHA) tunalaani kitendo cha Serikali kuvunja vibanda vya wafanyabiashara/wajasiriamali wadogo katika Soko Kuu la Kariakoo, Jijini Dar Es Salaam.
Tukio hili ni la kinyama na halina utu ndani yake kwani limewasababishia vijana wengi umasikini na ufukara baada ya bidhaa zao kuchukuliwa na mgambo wa jiji waliyokuwa wakiendesha operesheni ya kuvunja vibanda vyao.
Ikumbukwe kuwa Serikali imeshindwa kutoa ajira kwa mamilioni ya vijana wanaomaliza vyuo na shule mbalimbali hapa nchini kwa muda mrefu, inasikitisha kuona kuwa vijana wanapojitahidi kujiajiri wenyewe, Serikali inawaumiza badala ya kuwasaidia ili waweze kujikwamua na ugumu wa maisha.
Tunaitaka Serikali ieleze hawa vijana wamachinga eneo lao la kufanyia biashara liko wapi? na je, Kariakoo siyo kwa ajili ya vijana wa Kitanzania? Nani mwenye haki na Soko la Kariakoo?
Kitendo hiki kinaweza kusababisha ongezeko la uhalifu mitaani kwani hawa vijana hawatakuwa na kazi na hivyo kukosa kipato cha kujikimu.
Serikali iweke miundombinu ya vijana kujiajiri na kamwe isiwe kikwazo kwa vijana kujikwamua kiuchumi.
Imetolewa leo Disemba Mosi, 2022.
Apolinary Boniface,
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano BAVICHA.
Kamsaidie Eltwege MIGA wamekamata lile pangaboyiHivi hawa bar za vichaa Bado wapo na watu wanawasikiliza
USSR
Machinga complex ilijengwa kwa ajili ya kina nani?Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) tunalaani kitendo cha Serikali kuvunja vibanda vya wafanyabiashara/wajasiriamali wadogo katika Soko Kuu la Kariakoo, Jijini Dar Es Salaam.