HabariChademamara
Senior Member
- Apr 6, 2015
- 113
- 91
jamani njoeni na huku Rorya shirati,utegi na kogajaTokomeza ccm Musoma mjini inaendelea kesho ambapo team ya Bavicha Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu Mwita pamoja na John Heche aliyekuwa Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake ambye kwa sasa ni mtangaza nia ya ubunge jimbo la Tarime.kesho kwanzia saa 7 mchana katika viwanja vya Nyasho Stendi jimbo LA Musoma mjini watafanya mkutano mkubwa Sana pia kufunguwa ofisi ya Chadema kata ya nyasho.
Tokomeza ccm Musoma mjini inaendelea kesho ambapo team ya Bavicha Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu Mwita pamoja na John Heche aliyekuwa Mwenyekiti bavicha aliyemaliza muda wake ambye kwa sasa ni mtangaza nia ya ubunge jimbo la Tarime.kesho kwanzia saa 7 mchana katika viwanja vya Nyasho Stendi jimbo LA Musoma mjini watafanya mkutano mkubwa Sana pia kufunguwa ofisi ya Chadema kata ya nyasho.
Bavicha imepoteza mvuto
Bavicha(baraza la vichaa chadema) hamna sera
Bavicha imepoteza mvuto
tuhamie vijijini mjini wameshaelewa banaTokomeza CCM Musoma mjini inaendelea kesho ambapo team ya Bavicha Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu Mwita pamoja na John Heche aliyekuwa Mwenyekiti BAVICHA aliyemaliza muda wake ambaye kwa sasa ni mtangaza nia ya ubunge jimbo la Tarime. Kesho kuanzia saa 7 mchana katika viwanja vya Nyasho Stendi jimbo LA Musoma mjini watafanya mkutano mkubwa Sana pia kufungua ofisi ya CHADEMA kata ya Nyasho.