mpiganiahaki
Senior Member
- Apr 28, 2011
- 170
- 67
Kazi kweli kweli. Gazeti gani hilo ulilolisoma?Nimesoma gazeti moja leo, wanasema ujumbe wa CDM umekutana na hali ngumu Igunga. Pia wana Igunga wanamsubiri kwa hamu Slaa aende Igunga. Apeleke ushahidi wa ufisadi wa mbunge wao au aende akawaombe radhi..zaidi ya hapo Chadema hawana chao Igunga!
Leo ni siku ya nane toka kuanza harakati za bavicha zikiongozwa na John Heche jimbo la Igunga. Ila toka kuanza kwa harakati hizi hakuna taarifa zozote tulizopewa hadi sasa juu ya hali ya kisiasa jimboni humo, je ni mapokezi ya aina gani makamanda wetu wamepata na wanaendelea kupata vile vile ni mafanikio gani hadi sasa wameyapata kutokana na harakati zao? Jamani mlioko huko Igunga naomba mtujuze hapa hapa jamvini, Heche na wenzako tunahitaji kusikia kutoka kwenu
Nimesoma gazeti moja leo, wanasema ujumbe wa CDM umekutana na hali ngumu Igunga. Pia wana Igunga wanamsubiri kwa hamu Slaa aende Igunga. Apeleke ushahidi wa ufisadi wa mbunge wao au aende akawaombe radhi..zaidi ya hapo Chadema hawana chao Igunga!

<br />Nimesoma gazeti moja leo, wanasema ujumbe wa CDM umekutana na hali ngumu Igunga. Pia wana Igunga wanamsubiri kwa hamu Slaa aende Igunga. Apeleke ushahidi wa ufisadi wa mbunge wao au aende akawaombe radhi..zaidi ya hapo Chadema hawana chao Igunga!

<br /><br />mnamuuliza heche mnakosea, jamaa enu aliondoka zamani tu hapo igunga jana nimemuona mitaa ya mlimani city akinywa konyagi, nasikia alitaka awe msemaji mkuu kwenye mikutano ya igunga, akina benson na tumbo na waitara wakambania akapewa nafasi ya pili kuongea hahaa jamaa akachukia na kudanganya eti anaenda kuitisha press kwa mambo ya issue nyingine, lakini kwa nini cdm mnagombania umaarufu na mnabaniana hivyo? siku moja jamaa aliniambia kuwa yeye hana mshahara kwa hiyo ni lazima cdm imuone na ikubali ziara alizozipanga ili apate nafuu ya life. ..lakini kamati kuu ikapiga chini mipango yake hiyo ya kutaka kulamba miposho hahahaa eti bajeti yake ilikua million 30 kwa mikoa 8 hahaaa! cdm bwana!!
mnamuuliza heche mnakosea, jamaa enu aliondoka zamani tu hapo igunga jana nimemuona mitaa ya mlimani city akinywa konyagi, nasikia alitaka awe msemaji mkuu kwenye mikutano ya igunga, akina benson na tumbo na waitara wakambania akapewa nafasi ya pili kuongea hahaa jamaa akachukia na kudanganya eti anaenda kuitisha press kwa mambo ya issue nyingine, lakini kwa nini cdm mnagombania umaarufu na mnabaniana hivyo? siku moja jamaa aliniambia kuwa yeye hana mshahara kwa hiyo ni lazima cdm imuone na ikubali ziara alizozipanga ili apate nafuu ya life. ..lakini kamati kuu ikapiga chini mipango yake hiyo ya kutaka kulamba miposho hahahaa eti bajeti yake ilikua million 30 kwa mikoa 8 hahaaa! cdm bwana!!