BAVICHA HAWAJAFIKIRIA HAYA KATIKA KUZUIA MKUTANO WA CCM

mpenda1961

Senior Member
Apr 2, 2013
123
78
BAVICHA HAWAJAFIKIRIA ATHARI ZA KUZUIA MKUTANO WA CCM VIZURI....

KWA MFANO wakafanikiwa kuzuia huo MKUTANO, je sio kwamba cdm watakuwa wamekubali mikutano ya siasa hakuna mpaka 2020? Ambayo watakuwa wameunga mkono kauli ya rais na polisi ya kuzuia mikutano ya kisiasa?

#huoni jpm na polisi watakuwa wameshinda?

#BAVICHA kuzuia ni kuhalalisha mkakati wa jpm wa no siasa mpaka 2020....

NINI CHA KUFANYA...

# BAVICHA waache MKUTANO ufanyike halafu cdm wautumie ku rise mjadala wa uhalali wa wao kufanya yao....

#jpm na polisi kama wanadhamira ya kuzuia siasa up to 2020 wautoe MKUTANO kafara usifanyike kuhalalisha ukomo wa siasa to 2020....

NINI MAANA YAKE....

#CDM WAKIZUIA NA POLISI WAKIZUIA IT'S WIN WIN SITUATION BUT Atakuwa ameshinda rais...

NINI KITATOKEA BAVICHA NA POLISI WAKIZUIA

#TANZANIA atasikika mtu mmoja na wale waliochaguliwa na wananchi kwa kufanya kazi sehemu zao vizuri....

MAONI

#BAVICHA WAFIKIRIE VIZURI WANATAKA NINI KABLA YA KUTENDA....

-----
MWALIMU KATUMBI
DSM
 
Wewe si muelewa hakuna aliyezuia mikutano ya Siasa ukiitwa utoe ushahidi wa wao kuzuia unao? Kuwa makini
 
Back
Top Bottom