BAVICHA anatakiwa kichwa ngumu

BAVICHA anatakiwa kichwa ngumu

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Makamanda wa mkutano mkuu wa Bavicha mjue kuwa baraza lenu ndio askari wa kufagia njia.Hivyo mjue kibarua mlionayo,m/kiti mpya lazima awe na uwezo usio na mashaka

.Awe Tayari kuwaimbisha vijana tuko tayari.....tuko tayari.....,awe mwenye kujua adui yetu namba moja ni CCM,awe mwenye kujua udenda watutoka ilikuingia ikulu,awe anajua kuwa haki za chama zitalindwa kwa gharama yoyote,awe amezoea siasa gumu, ambaye ana uwezo zaisi ya Heche, maana Heche amefanya kazi safi sana,anayeaminika,mwenye akili na jeuri sb anajua.

Makamanda kesho tu tutakuwa na operesheni kali na inavyoonekana tutapigania haki yetu maana ccm tumewaona kwenye bunge la katiba wanaweza kugoma kutoa serikali hata kama wameshindwa.

Siri kubwa sio maneno ni matendo na kumbu kumbu ndio mtumie kuamua.Nime wachunguzawagombea wote NANYARO ANA SIFA HIZO.

Mkimchagua jembe Rorya tutawaalike mje kunywa nyuka anang'a (uji wa samli).
Mie nimetumia MATENDO NA KUMBU KUMBU NILIZO NAZO KUAMUA. NA NYIE TUMIENI MATENDO NA KUMBU KUMBU KUFANYA UAMUZI.:flame:
 
Kumbe adui namba moja wa Bavicha ni CCM!!! I thought ni umaskini, ni unemployment that amount to 12%, nlidhani ni elimu kuwa duni pamoja na kero zingine za wananchi.
kwa statement hiyo napata mashaka na utata mkubwa juu ya vision, philolosophy na mission yenu. maana itafocus kupambana na CCM na si kukwamua watanzania.
ukombozi wa kifikra unahitajika haraka sana
 
Hao ndio vijana sasa, magwanda kutwa kucha hii ndio thinking mkuu!!!!
Wakiambiwa siasa za vyama hazina masilahi tena na zimechoka achilia mbali kuongeza uhasama wao ni ngumi juu au vidole ishara!!!
Ukiwauliza nini common enemy hakuna ajuaye masikini wao kuburuzwa tu!!!

Kazi kwa Taifa hili bado saaanaaa
 
hahahaa na istoshe udenda unawatoka kwa shauku ya kuingia ikulu.. na maaana kamili ya udenda, ni dhahiri kuwa ni uchu BAVICHA wana uchu wa kuingia ikulu tu na si vinginevyo..
 
nilimsikia Mh Makamba enzi hizo "vidole viwili maana yake ni chama cha watu wawili Mtei na Ndesamburo
 
BAVICHA NI KITENGO CHA VIJANA NDANI YA CHADEMA MPO NYIE WAJINGA MNAONIPINGA!LENGO KUU YA CHAMA CHA SIASA NI KUSHIKA DOLA AU KULINDA UTAWALA/DOLA WAKE.BAVICHA HAINA SERIKALI,HAIKUSANYI KODI NA HAINA MAMLAKA YA KIDOLA NA KIUTENDAJI KULINDA ELIMU,KUTOA ELIMU,SIJUI AFYA etc...SO MISSION NA VISION YA BAVICHA NI KUSAIDIA CHADEMA KUINGIA IKULU.HIVYO MAKAMANDA LENGO KUU NI HILO NA MSIYUMBISHWE NA VIJINGA
 
Kumbe adui namba moja wa Bavicha ni CCM!!! I thought ni umaskini, ni unemployment that amount to 12%, nlidhani ni elimu kuwa duni pamoja na kero zingine za wananchi.
kwa statement hiyo napata mashaka na utata mkubwa juu ya vision, philolosophy na mission yenu. maana itafocus kupambana na CCM na si kukwamua watanzania.
ukombozi wa kifikra unahitajika haraka sana
Mkuu wala usishangae. Ndio akili zao zimegotea hapo. Wamekaririshwa hivyo.
 
BAVICHA NI KITENGO CHA VIJANA NDANI YA CHADEMA MPO NYIE WAJINGA MNAONIPINGA!LENGO KUU YA CHAMA CHA SIASA NI KUSHIKA DOLA AU KULINDA UTAWALA/DOLA WAKE.BAVICHA HAINA SERIKALI,HAIKUSANYI KODI NA HAINA MAMLAKA YA KIDOLA NA KIUTENDAJI KULINDA ELIMU,KUTOA ELIMU,SIJUI AFYA etc...SO MISSION NA VISION YA BAVICHA NI KUSAIDIA CHADEMA KUINGIA IKULU.HIVYO MAKAMANDA LENGO KUU NI HILO NA MSIYUMBISHWE NA VIJINGA

Kukubali kwamba hujui jambo si ujinga. unatoa mwanya wa kufafanuliwa. hakuna anayejua kila jambo duniani. inawezekana sio kuwa hamjui taratibu za kufuata had chama kinazaliwa. chama makin hakipaswi kuanzishwa juu ya focus ya ku deal na CCM. Chama cha watu makin huandaa dira (vision), hutengeneza falsafa na mission. huo ndo uelekeo wa chama.

Baada ya kupita huko Chama makoni ndipo huja kwenye strategies,paumbele, malengo nk.

Wananchi "wenye akili" hawawezi kukuchagua witg only ground kuwa unataka kuiondoa CCM bali watakuchagua baada ya kusoma vision, philosophy na manifesto yako kisha watalinganisha na vyama vingine na kukuona you are above all.

Sasa ukiwa wajitangaza mitandaon kwa hoja dhaifu kuwa kaz ya BAVICHA ni kudeal na CCM unamdhalilisha Dr slaa ambaye bila shak uwezo wake hauhojiki na pasipo kujijua unaweza jikuta una gain popularity at decreasing rate.
 
Kumbe adui namba
moja wa Bavicha ni CCM!!! I thought ni umaskini, ni unemployment that
amount to 12%, nlidhani ni elimu kuwa duni pamoja na kero zingine za
wananchi.
kwa statement hiyo napata mashaka na utata mkubwa juu ya vision,
philolosophy na mission yenu. maana itafocus kupambana na CCM na si
kukwamua watanzania.
ukombozi wa kifikra unahitajika haraka sana

Umaskini wa Watanzania umeletwa na ccm. Huwezi kupambana na umaskini bila kuidelet ccm first.
 
Kuna wagombea mamluki wengi sana na tumeshawagundua.

Subirini mwone Chadema ilivyo na uwezo wa kung'amua mambo asubuhiiiiiiiiii kabla hakujakuchwa.
 
Yes Bavicha,msiwe na siasa nyepesi na ccm,tumeona kwa macho yetu kwenye bunge la katiba Tunataka bavicha iwe na sera ya jino kwa jino na ccm.Si mliona pale kalenga kiongozi wa chadema alichomwa kisu kifuani?,si mliona walivyomtendea mama kamili?halafu mnaofanya siasa rahisi na ccm!TUNATAKA SERA YA JINO KWA JINO FULL STOP,VIJANA YUKO TAYARI
 
Tunamtaka kiongozi wa BAVICHA ambaye atatangaza sera ya jino kwa jino na UVCCM.Hii ni kwa sb kule Kalenga UVccm walimpiga na kumteka mbuge wa CDM mama Rose Kamili,pia walimchoma kisu kijana mmoja kiongozi wa CDM. Hivyo ni dhahiri kuwa tukiendelea hivi watatumaliza.Hivyo kiongozi atakaye chaguliwa atangaze mara moja sera ya JINO KWA JINO na UVCCM na vibaraka wao.Tuko ndani ya nyumba moja na humu humu tutajibu mapigo,hakuna tena lelemama.:flame:
 
Hao ndio vijana sasa, magwanda kutwa kucha hii ndio thinking mkuu!!!!
Wakiambiwa siasa za vyama hazina masilahi tena na zimechoka achilia mbali kuongeza uhasama wao ni ngumi juu au vidole ishara!!!
Ukiwauliza nini common enemy hakuna ajuaye masikini wao kuburuzwa tu!!!

Kazi kwa Taifa hili bado saaanaaa

ccm ndo adui wa watz. CCM ni adui wa haki, adui wa maendeleo, adui wa ukweli na uwazi na ashindwe kwa jina la MUNGU
 
all the best na maoni yako kura zisha anza sasa ni wakati wa maombi tu makamada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom