Battle Pesa Vs Elimu

1.husimwa elimu haende zake
2.pesa ni jawabu la mambo ...
vyote ni muhimu
 
Elimu ni neno pana sijui una maanisha nini.
Kusoma darasani au

Jibu la karne hili
 
Elimu ni kitu kipana toa ufafanuzi ni elimu gani unayoifananisha na pesa. Je ni elimu ya kusoma chuo kikuu uwe na masters PhD au Proffesor? au Je ni elimu ya namna ya kuyatatua matatizo na changamkto za dunia au ni elimu ya kukufanya uwe na pesa? Kuwa specific ni elimu gani unayoifananisha na pesa.
 
Elimu kwa ujumla wake
 
Elimu kwa ujumla wake
Kama ni hivyo basi elimu ni muhimu maana ili upate pesa mtaani lazima uifikirishe akili yako ikuletee namna ya kupata pesa. Huwezi kuifikirisha akili kama hauna elimu
 
Huu uzi umekuja muda muafaka maana nina maumivu kuhusu hutu tuvitu tuwili , nagugumia moyoni kila muda .
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…