Battery ya samsung grand i9082

Battery ya samsung grand i9082

Mwenye kujua wapy napata battery ya hiyo simu anifahamishe tafadhari

nenda kisutu stendi ya mabasi ya zamani kuna samsumg shop, kuna gorofa jipya zamani kulikuwa na ofisi za world link ila uwe na mpunga wa maana wanauza original betri tu niliulizia ya s3 wanauza elfu 70
 
Pamoja kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom