Battery ya PC imekufa au

Battery ya PC imekufa au

suluta

Senior Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
115
Reaction score
40
Wadau! PC yangu battery haipokei moto, yaan umeme ukikata na PC inazima utadhan desktop.
Nashindwa kuelewa ni battery aw ni tatizo jengine tu tofauti. Kwa nnavofaham battery ikifa huwa kuna massage inaonesha "REPLACE BATTERY " siioni hiyo message. Inaonesha tu "BATTERY NOT CHANGING"
Nijuzeni kwene hili
 
Aisee hilo tatizo mim liliwai tokea kwenye pc yangu nilidhani battery kumbe ilikua tatizo adapter (charger).
 
asa ushaambiwa adoptor unahisi alifanyaje kama sio kununua mpya?
unatumia nini kufikiria mkuu?
Mbona maneno yako mazito sana kiongozi, we mwerevu sana boy!
 
wakuu naomba msaada wa Kupakua Power DVD 13 with series Keys
Na namna ghani ya kuweka keys kwenye power DVD ambayo ni trial kwenye PC
 
wakuu naomba msaada wa Kupakua Power DVD 13 with series Keys
Na namna ghani ya kuweka keys kwenye power DVD ambayo ni trial kwenye PC
Nenda torrent site inayoitwa Piratebay huko utaipata full, kuidownload sharti uwe na application inayoitwa utorrent au bit torrent..

Hakikisha unapata power DVD yenye key, ukiipakua install ukiwa offline na uweke key itakuwa active. Usije ukaupdate maana key za kudownload ni sawa na za wizi, hivyo wataiban licence.


Vilevile kama unaona njia ndefu download VLC media, inaplay DVD yeyote
 
Back
Top Bottom