J julisa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 209 Reaction score 50 Feb 5, 2013 #1 Habari wana JF Natafuta battery ya emachine notebook eM350. Ninaweza kuipata wapi hapa Dar?
lucky sabasaba JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 1,656 Reaction score 1,205 Feb 5, 2013 #2 Ndio tatizo kaka la brand hizi..ingekuwa brand popular hisingechukua mda...si mbaya tafuta ukikosa ni sms +971504374387 dubai..ntakutizamia
Ndio tatizo kaka la brand hizi..ingekuwa brand popular hisingechukua mda...si mbaya tafuta ukikosa ni sms +971504374387 dubai..ntakutizamia
J julisa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 209 Reaction score 50 Feb 6, 2013 Thread starter #3 lucky sabasaba said: Ndio tatizo kaka la brand hizi..ingekuwa brand popular hisingechukua mda...si mbaya tafuta ukikosa ni sms +971504374387 dubai..ntakutizamia Click to expand... Asante sana. Huku kuna sehemu wanasema niwape hela halafu wataniagizia and within a week nitapata, sasa nilidhani kuna mtu anajua duka walizonazo hapohapo badala ya kuagiziwa..
lucky sabasaba said: Ndio tatizo kaka la brand hizi..ingekuwa brand popular hisingechukua mda...si mbaya tafuta ukikosa ni sms +971504374387 dubai..ntakutizamia Click to expand... Asante sana. Huku kuna sehemu wanasema niwape hela halafu wataniagizia and within a week nitapata, sasa nilidhani kuna mtu anajua duka walizonazo hapohapo badala ya kuagiziwa..