Battani: A e i o u, jamaa anajua huyu

nipende kuwaambia mziki ni jambo la hisia usije hapa jf ukataka kila mtu amuelewe huyo batani wako...... japo naipenda ile nyimbo yake ya ta ta ta inafaa kutombea
Hisia wapi mkuu kula ngoma hiyo

Hisia zinaishia kwenye sita kwa sita
 
amna kitu humo au ww ni don jazzy unampgia promo mmsanii wako šŸ¤£šŸ˜†
Huyo mchizi anajua. Nashangaa mondi mpaka leo hamtafuti kutembelea nyota. Umemsikia q-chief kwenye papa God anavyodis watembelea nyota
 
mbona unazidi kunichanganya we mgosi
Kwan mkuu si ulinambia unataka kutengeneza mall pale mbez kwa zena au nimesahau ni Joannah .. by the way ile private jet yako imeshatua bongo?
 
anajua sana huyo mtoto wa jazzy

tutafute hela kaka twende kwenye mashow yao
Suala la kutafuta pesa liko palepale mkuu, ila zikipatikana tatizo linabakia kwenye vipaumbele. Kama hela unayopangia kufanya vitu vya maana tu inaishia bar.

What you think will happen if You plan Otherwise?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…