battani ndo jina gani mkuuBATTANI
amna kitu ngoma haina utofaut na na ngoma yake ya taa sijui paAngalia alichokifanya kwenye hiyo ngoma mkuu
Utamjua tu taratib taratib
kumbe unaelewa utofaut n mdg sana humo mkuuWe unaiona ndogo hii?.. angalia alivyoipika kama bolingo flani.. wew unafananisha ta ta ta ta ta na hko kiitikio right?
amna kitu humo au ww ni don jazzy unampgia promo mmsanii wako 🤣😆😌🥹 ushaanza tena?
Hilo goma linaenda jijini mkuu wewe si upo?
Masaki ndo wapi tena we kaa hapo hapoMs R hapo Masaki hamjambo?