Chuo cha Maji
Member
- May 4, 2017
- 54
- 34
Swali: si NACTE ilisema diploma matokea ya selection ni 15th september 2017.Batch ya Tatu ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Courses mbalimbali katika ngazi ya Diploma kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 yametoka.
Tafadhali tembelea website ya Chuo uweze kuona jina na course uliyochaguliwa au download PDF ilioambatanishwa hapa.
Vilevile,tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na Chuo cha Maji kwa ngazi ya Diploma na Degree hadi tarehe 20 September 2017. Unaweza kudownload form na kujaza na kuambatanisha vitu vinavyohitajika au uka apply online kupitia website ya Chuo. www.waterinstitute.ac.tz
Karibuni sana.
Swali: si NACTE ilisema diploma matokea ya selection ni 15th september 2017.
Asante sana . Maelezo murua.Hii ni Provision Admission. NACTE wataenda kuverify kwa kuhakiki vigezo vya Chuo/Course na kuangalia ufahuru wa Mwanafunzi.
Asante
Msaada inawezekana kubadili kozi pindi unapo fika chuo??Batch ya Tatu ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Courses mbalimbali (Provision Admission) katika ngazi ya Diploma kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 yametoka.
Tafadhali tembelea website ya Chuo uweze kuona jina na course uliyochaguliwa au download PDF ilioambatanishwa hapa.
Vilevile,tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na Chuo cha Maji kwa ngazi ya Diploma na Degree hadi tarehe 20 September 2017. Unaweza kudownload form na kujaza na kuambatanisha vitu vinavyohitajika au uka apply online kupitia website ya Chuo. www.waterinstitute.ac.tz
Karibuni sana.
Mkuu nina mdogo wangu alisoma CBG na alipata E E E,kwa hapo chuoni kwenu anaweza kusoma course gani?Batch ya Tatu ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Courses mbalimbali (Provision Admission) katika ngazi ya Diploma kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 yametoka.
Tafadhali tembelea website ya Chuo uweze kuona jina na course uliyochaguliwa au download PDF ilioambatanishwa hapa.
Vilevile,tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na Chuo cha Maji kwa ngazi ya Diploma na Degree hadi tarehe 20 September 2017. Unaweza kudownload form na kujaza na kuambatanisha vitu vinavyohitajika au uka apply online kupitia website ya Chuo. www.waterinstitute.ac.tz
Karibuni sana.
kwani ukisema ni wew mwenye EEE hautashauriwa coarse ya kusoma??Mkuu nina mdogo wangu alisoma CBG na alipata E E E,kwa hapo chuoni kwenu anaweza kusoma course gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaangalia ufahulu na idadi ya wanafunzi katika course unayotaka kuhamia. Kama haijafika limit na wewe unavigezo, utakubaliwa kwa barua.Msaada inawezekana kubadili kozi pindi unapo fika chuo??
Mfano post umepata hydrology and metrolody ukabadili ukachukukua kozi nyingn.??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina mdogo wangu alisoma CBG na alipata E E E,kwa hapo chuoni kwenu anaweza kusoma course gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemaanisha anaweza kusoma Diploma bila kuwa na Physics?Kwa maksi ulizonitajia, hawezi kusoma Bachelor Degree ila ataweza kusoma Diploma kwa kutumia matokeo yake ya kidato cha nne.
Kwa kidato cha nne awe na D tatu katika masomo ya Science (Physics, Chemistry, Biology, Geography, na Mathematics).
NB: Asiwe na E au F ya Mathematics kwa course zote.
MmeelewekaTutaangalia ufahulu na idadi ya wanafunzi katika course unayotaka kuhamia. Kama haijafika limit na wewe unavigezo, utakubaliwa kwa barua.
Nasubiri mrejesho kutoka kwako Mkuu!!!Batch ya Tatu ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Courses mbalimbali (Provision Admission) katika ngazi ya Diploma kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 yametoka.
Tafadhali tembelea website ya Chuo uweze kuona jina na course uliyochaguliwa au download PDF ilioambatanishwa hapa.
Vilevile,tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na Chuo cha Maji kwa ngazi ya Diploma na Degree hadi tarehe 20 September 2017. Unaweza kudownload form na kujaza na kuambatanisha vitu vinavyohitajika au uka apply online kupitia website ya Chuo. www.waterinstitute.ac.tz
Karibuni sana.
Kwa maksi ulizonitajia, hawezi kusoma Bachelor Degree ila ataweza kusoma Diploma kwa kutumia matokeo yake ya kidato cha nne.
Kwa kidato cha nne awe na D tatu katika masomo ya Science (Physics, Chemistry, Biology, Geography, na Mathematics).
NB: Asiwe na E au F ya Mathematics kwa course zote.
Crse anayoweza soma hapo ni water quality laboratory technology, na meteolorogy kama skosei zingine zote physics lazimaNimemaanisha anaweza kusoma Diploma bila kuwa na Physics?
O-level yake hakusoma Physics pia!japo ufaulu wake ulikuwa mzuri,alipata Chemistry-B
Biology-C
Mathematics-D
Geography-C
English-B
History-C
Civics-C
Kiswahili-C
Je,kwa matokeo hayo in Diploma gani nzuri anaweza kusoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haiwezekani physics ni msingi mkuu wa crse zao....labda angekuwa na chemistry na biology angepata crse ya water quality laboratoryWhat if ana Geography na Mathematics pekee?
Kuna kijana natamani aje hapo,hajasoma Physics na Chemistry ,High school kasoma EGM
Yuko eligible?