Pata bata mzinga mkubwa wa kitoweo kwa shs. 150,000.00 na wa kufuga mwenye umri wa wiki 8 kwa shs. 35,000. Piga simu no 0715 284 187. Tuko Mbezi Luis Kinondoni - Dar es Salaam
Unao kiasi gani mkuu??,halafu naomba ufafanuzi kidogo wa jinsi ya kuwafuga.matharani vyakula vyao,sehemu ya kuwafugia,magonjwa,halafu utagaji wa mayai,wanataga mangapi na je yanachukua muda gani hadi kuangua vifaranga?.