hili ndio tatizo unapo weka bandiko la biashara ni bora ukaweka bei na vitu vingine kama umri wa hao bata , mahali ulipo kuliko kungangania wateja wakupigie kama vp tu beep basi tukupigie