bibilon Member Joined Sep 11, 2017 Posts 21 Reaction score 1 Oct 10, 2017 #1 Wana week 7 ni wakubwa nawarefu wenye afya Bei Kwanzaa 60000 kwa mawasiliano tupigi au msg 0625588676
Wana week 7 ni wakubwa nawarefu wenye afya Bei Kwanzaa 60000 kwa mawasiliano tupigi au msg 0625588676
Emmanuel nemes JF-Expert Member Joined Nov 20, 2016 Posts 888 Reaction score 655 Oct 10, 2017 #2 Tupe elimu ya namna ya kuwatunza na lishe kwanza.
M mashomoro JF-Expert Member Joined Jul 16, 2016 Posts 224 Reaction score 115 Oct 10, 2017 #3 naitaji vifaranga wa siku moja nianze nao
bibilon Member Joined Sep 11, 2017 Posts 21 Reaction score 1 Oct 10, 2017 Thread starter #4 mashomoro said: naitaji vifaranga wa siku moja nianze nao Click to expand... Hao subiri baada ya week 2 nanusu bata ataangua utapata bei ni 20000 kwakila kifaranga
mashomoro said: naitaji vifaranga wa siku moja nianze nao Click to expand... Hao subiri baada ya week 2 nanusu bata ataangua utapata bei ni 20000 kwakila kifaranga
bibilon Member Joined Sep 11, 2017 Posts 21 Reaction score 1 Oct 10, 2017 Thread starter #5 Emmanuel nemes said: Tupe elimu ya namna ya kuwatunza na lishe kwanza. Click to expand... Ufugaji wa bata mzinga Ndugu yangu huyo ameeleza vizuri sana juu ya bata mzinga
Emmanuel nemes said: Tupe elimu ya namna ya kuwatunza na lishe kwanza. Click to expand... Ufugaji wa bata mzinga Ndugu yangu huyo ameeleza vizuri sana juu ya bata mzinga
Emmanuel nemes JF-Expert Member Joined Nov 20, 2016 Posts 888 Reaction score 655 Oct 10, 2017 #6 Asante, ngoja nifuatilie then nione najipangaje