H handsome2 Senior Member Joined Mar 22, 2016 Posts 106 Reaction score 60 Jun 21, 2016 #1 Kama thread inavyosema, nauza bata mzinga wenye umri wa miezi nane. Bei kwa pair yaani jike na dume ni sh. 160,000 yaani laki na sitini kwa wote wawili. Serious buyer aje PM. Napatikana tabata kinyerezi karibu na Chuo cha kilimo cha Masanja.
Kama thread inavyosema, nauza bata mzinga wenye umri wa miezi nane. Bei kwa pair yaani jike na dume ni sh. 160,000 yaani laki na sitini kwa wote wawili. Serious buyer aje PM. Napatikana tabata kinyerezi karibu na Chuo cha kilimo cha Masanja.
Azizi Mussa JF-Expert Member Joined May 9, 2012 Posts 9,198 Reaction score 7,537 Jun 21, 2016 #2 mkuu hivi sifa za bata mzinga hadi wauzwe bei hiyo ni nini hasa maana mimi nawaona tu
M maalon JF-Expert Member Joined Feb 14, 2015 Posts 577 Reaction score 495 Aug 16, 2016 #3 Nawahitaji hao bata mzinga jee bado wapo?
abdallah saidi abdallah New Member Joined Aug 14, 2016 Posts 2 Reaction score 1 Aug 16, 2016 #4 Mimi niko mbali nitawapataje?