Bata Mzinga elfu 90

Bro Wise

Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
69
Reaction score
5
Karibuni Bata Mzinga wakubwa, majike wanataga na madume wanapanda, jike laki 1 dume 90. Karibuni pia kuku choatara vifaranga na mayai. KARIBUNI WOTE. 0682169798 DSM!
 
Last edited:
Karibuni Bata Mzinga wakubwa, majike wanataga na madume wanapanda, jike elfu 90 dume 80. Karibuni pia kuku choatara vifaranga na mayai. KARIBUNI WOTE.
Mbona unauza rahisi hivyo? Ni wakubwa kweli, weka picha tuone!
 
Mkuu, weka picha,weka namba ya simu kama hutajali, weka uko mkoa gani,....n.k
 
na mimi ninao hao bata mzinga wapowapo tu sioni hata faida yao wanazeeka tu
 
Karibuni Bata Mzinga wakubwa, majike wanataga na madume wanapanda, jike laki 1 dume 90. Karibuni pia kuku choatara vifaranga na mayai. KARIBUNI WOTE.
INGEPENDEZA KAMA UNGEKAMLISHA TANGAZO LAKO, YAANI MAWASILIAANO, SEHEM ULIPO NA VITU VINGINEE
 
mkuu kama unahitaji 140,000 kwa wote nitafute
 
0682169798 DSM! Karibuni Bata Mzinga wakubwa, majike wanataga na madume wanapanda, jike laki 1 dume 90. Karibuni pia kuku choatara vifaranga na mayai. KARIBUNI WOTE.
 

Attachments

  • IMG-20151205-WA0007.jpg
    109.9 KB · Views: 68
  • IMG-20151205-WA0010.jpg
    117.3 KB · Views: 89
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…