Basi tu, wanadhani sisi hatujui kulea

kitoromoni

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
424
Reaction score
210
nani kama baba.....
 

Attachments

  • baba.jpg
    34 KB · Views: 673
Hakuna kitu hiyo wala cha mjomba wala cha baba ni mama tuu na uchungu wa mwana ni mama
 
hilo la uchungu lilisha isha kwa kina mama maana siku hizi wote wanajifungua kwa opereheni na sio kawaida so uchungu hawana tena.
 
Dogo kagoma huyo, hayataki hayo anataka nyonyo
 
hilo la uchungu lilisha isha kwa kina mama maana siku hizi wote wanajifungua kwa opereheni na sio kawaida so uchungu hawana tena.

omba radhi kwa wamama wewe. eti oparesheni haina uchungu
 
omba radhi kwa wamama wewe. eti oparesheni haina uchungu

Si wanatumia ganzi jqman na baadae wanauguza kidonda tuu.... Nawaomba radhi kinamama woooote kwa kauli yangu iwapo imewakera ila jitahidini kuwa mama bora coz kuzaa tuu hakukufanyi kuwa mama
 
heee wewe, kwani hiyo operation si uchungu? Nenda katofolewe hilo tumbo lako halafu uone...
Mbona wengi wanafariki wakiwa ktk operation ya kuzaa?
Pili kutunza kidonda cha uzazi wafikiri hakiumiee?




hilo la uchungu lilisha isha kwa kina mama maana siku hizi wote wanajifungua kwa opereheni na sio kawaida so uchungu hawana tena.
 
hilo la uchungu lilisha isha kwa kina mama maana siku hizi wote wanajifungua kwa opereheni na sio kawaida so uchungu hawana tena.

Kwa hiyo operation haina uchungu? Kwenu wapi wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…