figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Basi mali ya Kampuni ya ABC (namba hazijapatikana) imepata ajali mlima Kitonga huko mkoani Iringa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi
Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi
Ajali ya aina ganiBasi mali ya Kampuni ya ABC (namba hazijapatikana) imepata ajali mlima Kitonga huko mkoani Iringa.
Hebu elezea number ya bus too habari iliyonyooka,mwezi uliopita tena kulikuwa na taarifa kama hii kuhusu hilihilo basi na ilikuwa fake news....Basi mali ya Kampuni ya ABC (namba hazijapatikana) imepata ajali mlima Kitonga huko mkoani Iringa.
Ni kampuni ambayo ni nadra sana magari yake kuona yamepata ajali tofauti na new forceBasi mali ya Kampuni ya ABC (namba hazijapatikana) imepata ajali mlima Kitonga huko mkoani Iringa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi
View attachment 3285785
Ukipata taarifa kuwa kuna ajali imetokea karibu na wewe ulipo unatakiwa uende ukatoe msaada, hizi taarifa si muziki kwamba tungo ikamilike ili usikilize na kucheza.Kwa hiyo ulikuwa na haraka ya nini kusema hivyo?