Basi limezidisha abiria, nitoe taarifa wapi?

Tafuta gari kama hutaki bugdha.

Au hio ikupe hasira ya kutafuta gari

Otherwise usnich sio tabia nzr
Mkuu,hii ni issue ya usalama,ndio maana Magari hua yana limit ya idadi ya abiria,
Si ajabu ikitokea ajali,hata wewe utaanza kulaumu,

Mleta mada yupo sahihi kabisa,mlinzi wa kwanza wa Nchi ni Mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…