Basi la Sumry laungua, Dodoma

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Breaking nuuuz live! ; basi la summry lapata ajali
muda huu na kuwaka moto nje kidogo na dodoma
tukio linakuja muda si mrefu
 
TOBA !!mizengo pinda ana taarifa?
 
dah, Mungu mkubwa, nimesafiri na sumri toka dar kwenda shinyanga jana, nimefika hapa shy usiku saa mbili....dar nilipanda saa kumi na mbili asbh. mwendo wao ni mkali kuliko mabasi yote, nashukuru Mungu nilifika salama.
 
Breaking nuuuz live! ; basi la summry lapata ajali
muda huu na kuwaka moto nje kidogo na dodoma
tukio linakuja muda si mrefu

Weka basi picha kamaupo eneo la tukio vp kuna majerui?
 


Hizi gari mungu saidia hii moja ya ajali ambayo imetokea ndani ya Mwaka mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…