Basi la Kilimanjaro Express

Jamani nisaidieni, kwani kwenye mabasi huwa kunakuwaga na mikanda? Mimi kutembea kwangu kote mikoani na hata dar es kwenye hizi buses ambazo zinafanya town trips sijawahi kuona mikanda kwa kweli. Sasa kama kwenye daladala watu wanajazana na kusimama kivipi watafunga mikanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…