Basi La Kampuni Ya New Force Lapata Ajali

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,367
Reaction score
27,773
Habari nilizozisikia hivi punde zinasema basi la kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Dar kuelekea Songea limeacha njia na kuingia porini katika kijiji cha Ngadinda, kuna taarifa za kuwepo kwa majeruhi na vifo havijathibitishwa. Taarifa hii imetolewa na Kamanda wa mkoa Wa Ruvuma, Mihayo ambaye ameelekea katika eneo la tukio. Chanzo Tbc Fm
 
daaaaa!!!!!na hii midereva mingine inakimbiza sana gar, mimi leo nilikuwa nasafiri na bas la bunda express, yaani jamaa alikuwa anakata kona na 130 speed. huwezi amin gar ilikuwa inayumba sana ikanibidi nianze kutubu madhambi yangu ili kusudi litakalo tokea mora aipokee roho yangu.

Madereva jamani mimi nikiwa dereva mwenzenu kwa uzoefu wangu mala nyingi gar uacha njia na kupinduka kwasbb ya speed kali. jaribu kuwa na huruma na roho za watu. wanapokufa wanaacha yatima, vilema nguvu kazi inapotea. punguzeni mwendo
 
mke wangu alikuwa anatoka kigoma anaenda dar kweny shughul zake bus alilopanda likapta ajal ila namshukur mung hakuumia sana alshtuka tu mkono

madereva kuwen makin aiseee
 
Hawa na Super Feo wanaendesha magari hovyo kabisa
 
daaaaa!!!!!na hii midereva mingine inakimbiza sana gar, mimi leo nilikuwa nasafiri na bas la bunda express, yaani jamaa alikuwa anakata kona na 130 speed. huwezi amin gar ilikuwa inayumba sana ikanibidi nianze kutubu madhambi yangu ili kusudi litakalo tokea mora aipokee roho yangu.

Madereva jamani mimi nikiwa dereva mwenzenu kwa uzoefu wangu mala nyingi gar uacha njia na kupinduka kwasbb ya speed kali. jaribu kuwa na huruma na roho za watu. wanapokufa wanaacha yatima, vilema nguvu kazi inapotea. punguzeni mwendo

Top speed 120km/h
 
Panda NEW FORCE ya tunduma utajuta.........matuta yanarukwa kama kitu gani sijui yaani amani inatoweka......wakiwaona mbayuwayu(Trafick officers) speed inapungua sana.Na trafiki akiingia ndani ya gari kuuliza niaje.....raia wanasema kilakitu ipo poa.........ukiuliza jamani speed mnayoendeshwa ni salama watu utaskia ndiiiiiiiiiioooooooooooo,dereva anaendesha fresh hakuna tatizo raia utaskia tena...ndiooooooooooooo.Kimoyomoyo nadhani matrafiki wanasemaga.......haya nendeni mkafie mbele ya safari pumbavu zenu.
 
huo ndio ukweli mchungu
 
Ahaaahaaa......
 
Hii ngoma huwa inatembea 140 km/h, ni hatari sana
 
Back
Top Bottom