Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Mojawapo ya mabasi ya kampuni ya Bunda, basi lenye namba ya usajili T 455 BQZ linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Mwanza limepata ajali.
Ajali hiyo ambayo basi hilo limegongana na lori la mizigo imetokea maeneo ya Mabuki takribani kilometa 60 kutoka mji wa Mwanza katika barabara iendayo Shinyanga.
Aidha majeruhi wamewahishwa katika hospital ya Bugando kwa matibabu zaidi..