Kuna tofauti kubwa kati ya timu ya mtu binafsi(ukoo) na timu za wanachama unakosea sana unapofananisha simba.yanga na azam,unatakiwa kuifananisha azam na tp mazembe ya moses katumbi cos ni club zinazo milikiwa na mtu,simba na yanga zitabaki kuwa lengend timu cos hapa mapato zinapokutana zinyewe hufika hadi bilioni,so mabac yetu yanakuja kwa udhamini wa tbl,tunaipongeza azam na si kutubeza sisi kwa mafanikio yao ss tunayachukua kama changamoto tu,ila sio kutubeza