SUMATRA tunaomba ushirikiano wenu, nauli ya Kasulu na Kigoma ni tofauti! Lakini sisi wasafiri tunaosafiri Dar-Kasulu basi hulazimishwa kulipa nauli ya Kigoma. Mbaya zaidi hata ukitoa nauli ya Kigoma wakati unashuka Kasulu hata tikei hulazimisha iandikwe Kigoma wakati mwisho wa safari yako ni Kasulu.Hili ni jambo la hatari sana wanasema wao wanafuata maelekezo ya bosi wao anaitwa Ahmad na kama hataki mrudishie pesa yake!! "Alitamka binti mmoja aliyeonekana kama bosi mwenye weupe wa mkorogo" Je huu ni uungwana!! Ukiwaambia hiyo tiketi inahitajika ofisini na ofisi inajua mwisho wa safari ni Kasulu hawakuelewi.TUNAOMBA SUMATRA WAINGILIE KATI NA BARABARA KGM-DAR IKIKAMILIKA HAKIKA MTAKIONA!!!!!!
Sasa kwa nini anakataa kuandika neno kasulu kuwa ndio mwisho wa safari anakwepa nini!!! Mi nahitaji tiketi iliyoandikwa dar-kasulu hataki vilevile dharau kuwa kama hataki mpe pesa yake inakuwaje!!!!!!Mshukulini huyo mwarabu kwa kujitolea kutoa usafiri Kgm- Dar makampuni mangapi yamechemsha? lkn mwarabu amekuwa na nyoe wakati wa shida na raha hasa kipindi serikali yenu imewatenga hapakuwa na usafiri wa train wala ndege sasa bila kuwa na hiyo kampuni mngetoka huko? hata wakati wa elinino mwarabu hakuacha kutoa huduma ya usafiri. MPENI PONGEZI KWA KUWAJARI WANANCHI WA KGM Kwaani nauli ya KSL-KGM kiasi gani? utakuta tofauti ni sh 2,000/= au3,000/= . Pungezeni kulalamika.
Sasa kwa nini anakataa kuandika neno kasulu kuwa ndio mwisho wa safari anakwepa nini!!! Mi nahitaji tiketi iliyoandikwa dar-kasulu hataki vilevile dharau kuwa kama hataki mpe pesa yake inakuwaje!!!!!!
Au ndio mshino!!!!!!!!!,,,,,,,,,,,,,Pesa sio shida tatizo hataki kunipa tiketi itakayokubalika ofisini!!!!
Naona hunielewi mei nilisafiri kwenda Iringa nikapanda basi ya mbeya wakaaandika nauli ya mbeya nikawaelekeza nahitaji tiketi ya nauli ya Iringa kwa ajili ya ofisi walinipa na hwakuniambia Kama hutaki rudisha pesa!!!Ndgu yangu WAPOMA acha ubishi, hivi leo huyo mwarabu akisema kasulu hasimami mtafanyaje? serikali yenu ilishawatenga hamjitambui tu, bado mnataka kumkesea huyu mwarabu? hata mikoani ni hivyo, mfano Dar-Moro ni 7000 ukipandia charinze ni wajibu wako kulipa hiyi nauli coz yeye hana nafasi za katikati. au ukitaka kwenda Mbeya utalipa nauli ya mbeya haijarishi unashuka uyole. lipa nauli mpeni pongezi mwarabu.
We unavuta... huyu anayeroga watu wasiweze kupeleka mabasi mazuri route hiyo na kila anayeleta anapigwa vita ni mtu wa kumshukuru? kwa lip? kenge wee!Mshukulini huyo mwarabu kwa kujitolea kutoa usafiri Kgm- Dar makampuni mangapi yamechemsha? lkn mwarabu amekuwa na nyoe wakati wa shida na raha hasa kipindi serikali yenu imewatenga hapakuwa na usafiri wa train wala ndege sasa bila kuwa na hiyo kampuni mngetoka huko? hata wakati wa elinino mwarabu hakuacha kutoa huduma ya usafiri. MPENI PONGEZI KWA KUWAJARI WANANCHI WA KGM Kwaani nauli ya KSL-KGM kiasi gani? utakuta tofauti ni sh 2,000/= au3,000/= . Pungezeni kulalamika.
Naona hunielewi mei nilisafiri kwenda Iringa nikapanda basi ya mbeya wakaaandika nauli ya mbeya nikawaelekeza nahitaji tiketi ya nauli ya Iringa kwa ajili ya ofisi walinipa na hwakuniambia Kama hutaki rudisha pesa!!!
Tatizo sio pesa!!!!!!!!!!!!! Msaada kitu gani kila kitu kina mwanzo na mwisho!!! Hakika mabadiliko yanakuja ipo siku hakuna kulala kahama na kubembelezwa kwingiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbeya na iringa kuna distance kubwa, ksl hapo km 80 tu unalinganisha na km 400
Watanzania wengi wajinga akitaka huyo mwarabu afunge ofisi kwan lazima awe yeye. u guys are stupid
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mshukulini huyo mwarabu kwa kujitolea kutoa usafiri Kgm- Dar makampuni mangapi yamechemsha? lkn mwarabu amekuwa na nyoe wakati wa shida na raha hasa kipindi serikali yenu imewatenga hapakuwa na usafiri wa train wala ndege sasa bila kuwa na hiyo kampuni mngetoka huko? hata wakati wa elinino mwarabu hakuacha kutoa huduma ya usafiri. MPENI PONGEZI KWA KUWAJARI WANANCHI WA KGM Kwaani nauli ya KSL-KGM kiasi gani? utakuta tofauti ni sh 2,000/= au3,000/= . Pungezeni kulalamika.
Isiwe sababu ya kutunyanyasa sisi wananchi wa Kigoma. Unakata tiketi ya Dodoma unalipa nauli ya Dar es salaam, wapi na wapi?
Hakuna cha kumpa pongezi kwani yupo kibiashara zaidi kuliko kuhudumia wananchi.
Hawa jamaa niwanyanyasaji kwelikweli na hawajaanza leo tangu enzi hizo ni bora kuepuka mabasi yao