Basi kampuni ya BM imepata ajali

Hiyo sio ajali ni bahati mbaya'
Hapo wanaweza nyoosha na tindo wakapulizia rangi na tajiri asijue.
Ajali ni lile la new force
Kwa hali inavyoendelea madereva kufukuzana barabarani ajali za mabasi zitaendelea kutupukutisha. Kikosi cha usalama barabarani wameshachemka afande Fotunatus alijitahidi sana kupambana na madereva wapumbafu

Kamanda wa sasa kikosi cha usalama barabarani anakomaa na zoezi la kuhakiki Leseni na vyeti vya taaluma kanakwamba vyeti ndo tatizo la ajali za mara kwa mara.

Ndonama huwa natamani ishu ya kusimamia usalama barabarani wapewe Wajeda kwa kipindi cha miezi sita tu ajali za kizembe itabaki stori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…