wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,216
babda bajeti inautataIngekuwa mwezi wa 12 au uchaguzi tungepata sababu
Bus kampuni ya BM inayopiga ruti ya dar to Arusha Arusha to Dar imepata ajali
Tusubiri report ya serikali maana imekaa kimya View attachment 2667620
Nyie madereva punguzeni kunywa masterSawa
Sikuhizi Kuna kisungura[emoji3]Nyie madereva punguzeni kunywa master
Uyo sio wa kuongea nae aseeeHumu jf
Kuna watu Wana midomo miby Sana.
Kuna jamaa humu
aliilalamikia new force
Hazikupita siku 3, ikala mbanga ikaua
Juzi Tena kaisema BM COACH
Wiki haijaisha, nayo imekula mbanga[emoji26]
Barabarani zetu nzuri lakini nyembamba,Dah! Hizi ajali zimefuruliza Sasa[emoji26]
asante kwa nasaha chiefNyie madereva punguzeni kunywa master
Bus kampuni ya BM inayopiga ruti ya dar to Arusha Arusha to Dar imepata ajali.
Tusubiri report ya serikali maana imekaa kimya.View attachment 2667620