Eeeh COVID 19 ndio ilisababisha mfumo ugome maana iliongeza presha kwenye mfumo wa kupumua
Mtu mmoja alifariki ktk mazingira ya kutatanisha na dhuluma, ndugu waliopanga mazishi kesho yake,
Ilipofika usiku wa kuamkia siku yamazishi, marehemu alianza kuwatokea ndugu na jamaa mbalimbali msibani na kupotea baada ya kuonekana. Anamtokea huyu anapotea tena. Unajificha UVUNGUNI huyu hapa,ukikimbia anapotea, anakutokea tena eneo lingine.
Mwonekano wake ulikuwa wa vazi jeupe, usoni huioni sura, miguu pia haipo, anaelea angani na kupotea,
Mimi pekeangu ndo sikuwa namuona sababu sikuwa na HOFU, baadae sana baada ya kuzidi tafrani, nami nilimwona mtu huyo.
Usiku Ule ulikuwa tafrani na nguo kuchanika, Hadi kunakucha, hapakuwa na ndugu hata mmoja Kwa ajili ya maziko,
Hadi Leo haijulikani nani aliuzika mwili Ule wa marehemu.
Niliamini,
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
Usiombe KIVULI kikufuate😳😳😳
NB; Hakuna mahusiano na conversation zetu, nimekumbuka tu story hii uliponijibu kama daktari wa mchongo.