Ramli choganishi
Huu ni wakati wa kila waziri achape kazi
Magufuli hajawahi kujipanga kuwa Raisi wala kutqbiriwa uchapq kazi na usafi ndio ulimbeba
2015 aliwabwaga wachafu chafu mifisadi mijizi iliyokuwa na vyeo na network kubwa sababu haikuwa Michael kazi na mijizi
Mtaka uraisi yeyote ahangaike kujenfa Cv ya usafi na uchapa kazi unaokubalika na wananchi walio wengi sio wachache wenye nafasi za pesa au network yaani mtandao tu mbeleni patachimbika
Aweza ibuka mtu kama MAGUFULI ambaye wala hakujipanga kuwa Raisi akiwa mtandao hana na connection ndani ya chama na serikali hana wala mtandao inner circle hana kuliko wapinzani wake hana kipindi cha 2015 na akawa Raisi akawabwaga huko na pesa zao na mitandao yao na connections zao na exposure zao tupa kule akaibuka Raisi