technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,563 Reaction score 57,888 Mar 17, 2023 #1 Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,528 Mar 17, 2023 #2 Kanda pendwa vs Waja leo waondoka leo
G gambagumu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,337 Reaction score 3,156 Mar 17, 2023 #3 Amefanya Nini cha kipekee kwa nafasi alizokwosha tumikia hadi afikiriwe kuwa anaweza kuwa Rais, all in all wananchi titamuua mda ukifika
Amefanya Nini cha kipekee kwa nafasi alizokwosha tumikia hadi afikiriwe kuwa anaweza kuwa Rais, all in all wananchi titamuua mda ukifika
N Nunio JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 746 Reaction score 1,867 Mar 17, 2023 #4 "......mwanangu Inno...."
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,790 Mar 17, 2023 #5 Kheee
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,971 Mar 17, 2023 #6 Jpm kawaharibia watu wa bara kupewa nchi,ni mwendo wapwani na kusini tu
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Mar 17, 2023 #7 mdukuzi said: Jpm kawaharibia watu wa bara kupewa nchi,ni mwendo wapwani na kusini tu Click to expand... Urais si maandazi ya kugawana msibani.
mdukuzi said: Jpm kawaharibia watu wa bara kupewa nchi,ni mwendo wapwani na kusini tu Click to expand... Urais si maandazi ya kugawana msibani.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,971 Mar 17, 2023 #8 Rabbon said: Urais si maandazi ya kugawana msibani. Click to expand... Utajua hujui
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Mar 17, 2023 #9 mdukuzi said: Utajua hujui Click to expand... Huyo " niguse ninuke wenu" mkanywe nae chai!!
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 9,770 Reaction score 20,464 Mar 17, 2023 #10 Hussein Mwinyi kaandaliwa kwa Miaka 50 kuwa RAIS.
ya mufindi JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 573 Reaction score 903 Mar 17, 2023 #11 Wahaya mwalimu aliwakataa......
The unpaid Seller JF-Expert Member Joined Oct 27, 2019 Posts 2,207 Reaction score 6,616 Mar 17, 2023 #12 gambagumu said: Amefanya Nini cha kipekee kwa nafasi alizokwosha tumikia hadi afikiriwe kuwa anaweza kuwa Rais, all in all wananchi titamuua mda ukifika Click to expand... Japo simtetei Bashungwa ila najibu hoja yako kwani Maushungi alifanya nini cha kipekee ?
gambagumu said: Amefanya Nini cha kipekee kwa nafasi alizokwosha tumikia hadi afikiriwe kuwa anaweza kuwa Rais, all in all wananchi titamuua mda ukifika Click to expand... Japo simtetei Bashungwa ila najibu hoja yako kwani Maushungi alifanya nini cha kipekee ?
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,985 Reaction score 21,236 Mar 17, 2023 #13 ya mufindi said: Wahaya mwalimu aliwakataa...... Click to expand... technically said: Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye. Click to expand... INAWEZEKANA the State wamemuandaa Jamaa! Ana ukimya wa Mwinyi junior!ndio maana anahamishwa wizara Sana ! Lakini mahitaji ya nyakati,Zama,mahitaji,Mbingu,Ardhi na upepo vinaweza kumuibua MWINGINE KABISA! TUSUBIRI!!
ya mufindi said: Wahaya mwalimu aliwakataa...... Click to expand... technically said: Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye. Click to expand... INAWEZEKANA the State wamemuandaa Jamaa! Ana ukimya wa Mwinyi junior!ndio maana anahamishwa wizara Sana ! Lakini mahitaji ya nyakati,Zama,mahitaji,Mbingu,Ardhi na upepo vinaweza kumuibua MWINGINE KABISA! TUSUBIRI!!
Alexander The Great JF-Expert Member Joined Aug 28, 2018 Posts 4,514 Reaction score 23,696 Mar 17, 2023 #14 Nashauri apewe urais JOB NDUGAI au KANGI LUGOLA. Itakaa poa sana. Si mmeamua kuliangamiza kabisa taifa, potelea pote, liwalo na liwe.
Nashauri apewe urais JOB NDUGAI au KANGI LUGOLA. Itakaa poa sana. Si mmeamua kuliangamiza kabisa taifa, potelea pote, liwalo na liwe.
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,479 Reaction score 11,489 Mar 17, 2023 #15 Mtoa mada, huyo kijana anafaa ila tutaenda na Gwajima, Tuvushe Baba Askofu, huyo kijana asubiri kwanza mpaka 2040
Mtoa mada, huyo kijana anafaa ila tutaenda na Gwajima, Tuvushe Baba Askofu, huyo kijana asubiri kwanza mpaka 2040
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,971 Mar 17, 2023 #16 Rabbon said: Huyo " niguse ninuke wenu" mkanywe nae chai!! Click to expand... Yupo anakunywa chai kweli,jiwe wenu yuko wapi
Rabbon said: Huyo " niguse ninuke wenu" mkanywe nae chai!! Click to expand... Yupo anakunywa chai kweli,jiwe wenu yuko wapi
britanicca JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 17,209 Reaction score 41,779 Mar 17, 2023 #17 Yawezekana
S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,732 Mar 17, 2023 #18 Mbona hukuongea hayo kabla hajaenda chato?mda mwingine ni bora kukaa kimya
technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,563 Reaction score 57,888 Mar 18, 2023 Thread starter #19 scolastika said: Mbona hukuongea hayo kabla hajaenda chato?mda mwingine ni bora kukaa kimya Click to expand... Kwenda chato sio hoja hoja ni maono
scolastika said: Mbona hukuongea hayo kabla hajaenda chato?mda mwingine ni bora kukaa kimya Click to expand... Kwenda chato sio hoja hoja ni maono
baro JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 3,328 Reaction score 4,516 Mar 18, 2023 #20 mdukuzi said: Jpm kawaharibia watu wa bara kupewa nchi,ni mwendo wapwani na kusini tu Click to expand... Kanda ya Ziwa wakigoma nchi haitawaliki Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
mdukuzi said: Jpm kawaharibia watu wa bara kupewa nchi,ni mwendo wapwani na kusini tu Click to expand... Kanda ya Ziwa wakigoma nchi haitawaliki Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app