usanii umeona kwa huyo tu..viongozi wengi ni wasanii mbona "CHALAMILA" hutamtaja au huyo unabifu naye.Huyu jamaa inaonekana maisha yake nnje ya bunge na uwaziri ni magumu sana, ukiingia kwenye page zake za Mitandao kakaa kisani sanii , Huwa anawatu wake wa kumrekodi akiwa anact usanii, na anaendaga na upepo
Kabla ya kupewa wizara ya mambo ya ndani alikuwaga mtu flan mpole sana kila alivyopewa tu kazi akabadilika vibaya
Now katupwa nnje naona anahaha kusaka uwaziri Jana alionekana kapiga magoti kzimkazi mwamba ni msanii haswa
Kizimkazi wapi?Jana alionekana kapiga magoti kzimkazi
Hungry LionHuwa hawatosheki hawa jamaa.
Marehem Jenister Aligalagala MavumbiniMasilahi ndio tatizo
Kisa masilahiMarehem Jenister Aligalagala Mavumbini
😃😀Kisa masilahi