Ila kaniudhi sana huyu jamaa kuiachia South Sudan iende hivi ivi, majitu hayajui hata kuiongoza nchi,diwani anavaa buti na suti,mbunge anavaa ndala na nguo za uraiani, hajui kupitisha kitana nywele zimekaa hovyohovyo tu, *****..yamebakia kuuwana tu, ni heri angewanyang'nya nyambaff kabisa.