Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
Moja ya kabila ninayoikubali kwa kula nyani hapa Tanzania.Ni tabia za wabembe, Zitto na Kigwangala wote ni wabembe
Brother Kigwa kama umetoka kwenye kiuno cha huyo mzee hakuna sababu duniani ya kumsusa kama ni kweli......achana na siasa vitu vya kupita....shughulika na afya ya mzee asife kwasababu ya kukosa mambo ya msingi......mzazi ni mzazi.....huwezi kubadili hilo hata akufanyie nini.....tafadhali mkuu kama kuna ukweli kwenye hii taarifa.....
Yericko Kuna Unyama kumbe hapa Ndani yake? Tujuze:A S wink:
...WANA JAMII! Tuweni na moyo wa huruma, upendo na moyo wa kusaidiana. Nimewasiliana na Mzee Kigwangallah punde tu. Anasema hajapata msaada wa aina yoyote so far kutoka kwa mtu. Si Bashe, wala mwana jamii katoa mchango wake. Tunaishi maisha gani sasa? Mtoto wake kamtupa, nasi pia tunafuata mkondo huo huo. Ubinadamu uko wapi sasa?
mleta uzi naona una lako jambo!bashe ndio wa kumlaumu au kigwa?
.... Je, Bashe na Kigwangallah, matapeli, waongo na washenzi, wanafaa kuwa wabunge jimbo la Nzega? Kikwete na mama Salma wanajuta kumpigia chapuo Kigwangalla, waka muunga mkono kumbe ni mshenzi. Bashe anatumia pesa za kifisadi za Rostam Aziz na Lowasa kuwahonga wananchi wa Nzega! Zindukeni. Wapigwe chini wote mwaka 2015 kwa kumwongopea hata mgonjwa, mzee wetu. These are rodent fools..! Nani mwana Jamih kaweza kumsaidia baba yetu, au kimya?Bashe na Kingwagala, makalio yenu.
... Allan na matapeli wenzako, mko wapi sasa baada ya kukusanya pesa za msaada kwa mzee Kigwangala? Hivi hamuogopi mungu nyie?.... Je, Bashe na Kigwangallah, matapeli, waongo na washenzi, wanafaa kuwa wabunge jimbo la Nzega? Kikwete na mama Salma wanajuta kumpigia chapuo Kigwangalla, waka muunga mkono kumbe ni mshenzi. Bashe anatumia pesa za kifisadi za Rostam Aziz na Lowasa kuwahonga wananchi wa Nzega! Zindukeni. Wapigwe chini wote mwaka 2015 kwa kumwongopea hata mgonjwa, mzee wetu. These are rodent fools..! Nani mwana Jamii kaweza kumsaidia baba yetu, au kimya?
... Jamaa vipi, mbona unakurupuka? This is a serious issue which needs your vital contribution in kind and wisdomVijana mmekalia umbea tu